Ndugu zangu, nimeadimika kwa siku kadhaa kwa sababu baada ya kutoa A town, nilikatiza anga moja kwa moja hadi makao makuu ya Afrika-Addis Ababa. Nilikuwepo hapo kwa wiki moja na ndio kwanza nimerejea nyumbani. Kutokana na sababu za kiufundi, nilishindwa kuwa pamoja nayi kwa muda huo wote. Lakini kwa kuwa nimesharejea, naandaa mambo ya huko Addis na mengine na nitaanza kuwarushia hivi karibuni.
1 comment:
Karibu mheshimiwa, nimeona kazi yako. Nchi yetu itakombolewa na watu kama wewe.
Kazi nzuri.
Post a Comment